Sunday 25. February 2024

Jägerstätter Biographie in Suaheli

Der oberösterreichische Missionar Hans Humer baute in seiner 10 Jährigen Tätigkeit die Diözese Kayanga im Nordwesten Tansanias auf. 

Übergabe der Jägerstätter-Reliquie an Bischof Severin Niwemugizi von Rulenge.

 

Am 1. November 2008 wird die neue Kirche, die zugleich Bischofssitz sein wird eingeweiht. Am 6.November wird dann der neue Bischof geweiht, wo von unserer Diözese unter anderem auch Martin Füreder dabei sein wird. Zur Kirchweihe wird eine Reliquie von Franz Jägerstätter in den Altar eingemauert. Franz Jägerstätter ist für die afrikanische Gemeinde ein Vorbild, deshalb hat Pater Humer seinen Lebenslauf in Suaheli übersetzt.

 

Jägerstätterbiographie in Suaheli übersetzt von Hans Humer

 

Mwenyeheri Franz Jaegerstaetter (1907-1943)

  • Kuzaliwa: 20-5-1907; St. Radegund – Austria – Jimbo la Linz; Baba: Heinrich Jaegerstaetter;  Mama: Rosalia Huber

  • Kufunga Ndoa: Alhamisi Kuu 1936 - na Franziska Schwaninger (Bado yuko hai)

  • Kazi: Alifanya kazi ya kilimo katika nyumba ya kilimo ‚Leherbauer‘. Kuanzia mwaka 1941 Franz Jaegerstaetter alifanya kazi ya kanisa (sakristia - ‚Mesner‘) katika kanisa la St. Radegund.

  • Watoto: Alizaa wasichana 3 (Rosalia: * 1937; Maria: *1938; Aloisia: *1940)

  • Kukataa kuwa askari katika vita vya pili vya dunia (na Adolf Hitler): Alisema, kwamba hawezi kuwa askari na kuwaua watu na silaha yoyote, na kupiga vita na hawa ‚national-socialists‘ – haiwezekani kuunganisha jambo hilo na ukristu wetu. Mwaka 1940 aliitwa mara mbili kuingia katika utumishi jeshini, lakini walikubali, kwamba hawezi kwa sasa. Baadaye walimwita tena, lakini Franz alikiri mara moja, kwamba , „kupigana vita na kuua, kwake ni dhambi na kosa ya binafsi, japokuwa Hitler ataweza kutawala dunia nzima“. Hata tarehe 1-3-1943 aliwaeleza tena kama hivyo, na aliongeza, kwamba vita kwake ni kufanya dhidi ya ufahamu wa dini ya ukristu (‚religious christian awareness‘). Hawezi kuwa ‚national-socialist‘ na mkristu katika wakati moja.

  • Kuwekwa gerezani na kuhukumiwa: Baada ya kukataa wito wa kuingia jeshini, marchi 1943 walimfunga katika gereza ya majeshi Linz (‚Ursulinenhof‘). Mwanzoni wa Mei alipelekwa gerezani Berlin-Tegel, ujerumani. Tarehe 6 – 7 - 1943 walimhukumu kwa ajili ya kosa lake: „Mpinzani wa nguvu ya jeshi (Wehrkraftzersetzung) na kukosa ‚heshima ya utetezi‘ (Wehrwürdigkeit) na haki za heshima za uraia (‚bürgerliche Ehrenrechte‘).“

  • Kuuawa: Tarehe 9-8-1943; Brandenburg/ Havel (Ujerumani) – kwa kukatwa kichwa.

  • Kukubaliwa kuwa mwenye heri: Tarehe 1-6-2007; Vatikan

  • Sifa maalum: Mwenyeheri na mfiadini Franz Jaegerstaetter ali(sha)kuwa mfano wa kutetea amani na imani kwa wateolojia wa ‚Vatikanum II‘, na mfano kwa ‚peace-activists‘ wa Amerika (USA) katika vita vya Vietnam – ni mfano mzuri katika mtetezi dhidi ya dhuluma (violence) leo, hadi kuwa mfano katika kusuluhisha matatizo ya ndoa.

  • Mwisho: Nafikiri, kwamba hata kwa nchi za Afrika mashariki atakuwa mfano mzuri wa kupenda amani, kutetea imani, na kuwa na msimamo imara katika ukristu wetu hadi kumwaga damu kwa ajili ya dini yake. 

 (gec)

 

KATHOLISCHE KIRCHE IN OBERÖSTERREICH
Herrenstraße 19
4020 Linz
Telefon: +43 732 7610-1170
post@dioezese-linz.at
Katholische Kirche in Oberösterreich
Diözese Linz

Fachbereich Kommunikation
Herrenstraße 19
Postfach 251
4021 Linz
https://www.dioezese-linz.at/
Darstellung: